Saturday, June 8, 2013

Kwanini?

MTANZANIA ALIEKAMATWA NA MADAWA MISRI KUNYONGWA (VIDEO)

Kwa habari ambazo zimeenea mjini kuhusiana na mwanamke aliekamatwa Misri akijaribu kusafirisha madawa ya kulevya taarifa inasema kuwa kwa sheria za misri ukikutwa na kosa la kuingiza / kutoa madawa adhabu yake ni kunyongwa.
Tazama hii video hapo chini ikionesha tukio zima

0 comments:

Post a Comment