kill dem master

www.gotaldo.blogspot.com

New msishindwe bar and lodge

kwa mawasiliano zaidi 0765 750 903,0755 170483

now open......pamoja tujenge mkoa wetu

kamilisha na m pesa

kamilisha na m pesa

Wednesday, January 21, 2015

Teknolojia mpya ya camera ya kwenye simu inayo weza ku tafsiri neno lolote

Kadri miaka inavyozidi kwenda na ndivyo hivyo teknolojia inazidi kukua kwa kasi kubwa tofauti na zamani ilivyokua.
Inayotarajiwa kuja sasa ni teknolojia ya camera iliyopo kwenye simu za mkononi ambayo inauwezo mwingine tofauti kabisa na ilivyo zoeleka kwaajili ya kupiga picha .



 Hii itakuwa rahisi sana mtu wangu, hivi mara ngapi umeshawahi kwenda sehemu ukakutana na maandishi ambayo umeshindwa kuyaelewa?Teknolojia imekuwa msaada kwenye mengi mtu wangu, pata picha unasafiri kwa mara ya kwanza kwenda China, unaingia mgahawani, unapewa menu imeandikwa kichina, unaanzia wapi kwanza? Google wanatusogeza hapa,google translate app itakusaidia kama unayumia smartphone yako unaweka app hiyo halafu unaanza kuitumia, mfano unakutana na bango lenye maandishi unafungua app, unaionyesha camera ya simu kwenye maandishi hayo unapiga picha, kwenye kioo cha simu inakuonyesha maana ya neno hilo!
Mbali na hivyo app hiyo inaweza kukutafsiria kwa sauti hata kile ambacho mtu anakiongea, yenyewe inakupa tafsiri kwa lugha unayotaka.
Ni rahisi tu, hauhitaji kuwa na internet ili uitumie, ni app ambayo inafanya kazi hata kama huna bundle mtu wangu, inapatikana bure kwa wanaotumia android na iPhone pia

SIKILIZA AUDIO YA SIR_JOEL-SIKUHITAJI


                                             https://www.hulkshare.com/gy53uxgm4mbk

Tuesday, January 20, 2015

You Heard: Baada ya kuachana na Diamond, Wema anatoka na Dax??

Leo hii Sudy Brown a.k.a Gossip Cop amemnasa Wema Sepetu kwenye kumi na nane yak, kutaka kujua kinachoendelea kati yake na mwanamitindi Mtanzania anaefanya kazi zake nchini South Africa ambae anajulikana kwa jina la Dax
Wema ambae mara tu baada ya kupokea sim ya Gossip Cop alianza kujielezea kuwa anaumwa jino, lakini hiyo haikuwa sababu ya kutokutwangwa maswali juu ya uwepo wa uhusiano wake na Dax, lakini pia amemzungumzia Bob Jr...sikiliza hapo chini 
"Mara ya mwisho nimemuona Dax ilikuwa samaki samaki mwaka jana sijui ilikuwa lini, tena nilimsalimia mambo poa vipi fresh. amesema Wema....Hivi kati ya Diamond, Bob jr na Dax unampenda nani? "hahahahaaaaaaaa siwapendi wote"

Diamond platnumz kumiliki application yake kwenye google paly

Star wa Muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz bado anazidi kuongeza wigo wa kutoboboa kimuziki hasa kwa soko la ki mataifa,kwani hivi sasa ameweza kuwa amefikia hatua ya kuwa ana miliki application yake mwenyewe ya google play.
  
Mbali na kuwa ameanza kutoka nje ya mipaka zaidi ya Tanzania kwa kufanya collabo na wasanii wengi wa kimataifa pia ameona fursa nyingine ya kuzidi kuji tangaza zaidi.
Application hiyo itasaidia kuonyesha kila kitu kinacho muhusu Diamond ikiwemo maisha ya kawaida,muziki pamoja na event zake zijazo.ameamua kuwa rahisishia mashabiki kwa kuipata kwa kui download bure kabisa.


Sunday, January 18, 2015

KWILLY : HAYA NDIO MADHARA YA KUNYONYA UKE WAKATI WA KUFANY...

NDOTO : HAYA NDIO MADHARA YA KUNYONYA UKE WAKATI WA KUFANY...: Leo nataka nieleze mambo ya msingi… kama utahisi haya nitakayo yaeleza yamekukera jifanye kama hujaona na uendelee namabo yako sitaki comme...