Tuesday, January 20, 2015

You Heard: Baada ya kuachana na Diamond, Wema anatoka na Dax??

Leo hii Sudy Brown a.k.a Gossip Cop amemnasa Wema Sepetu kwenye kumi na nane yak, kutaka kujua kinachoendelea kati yake na mwanamitindi Mtanzania anaefanya kazi zake nchini South Africa ambae anajulikana kwa jina la Dax
Wema ambae mara tu baada ya kupokea sim ya Gossip Cop alianza kujielezea kuwa anaumwa jino, lakini hiyo haikuwa sababu ya kutokutwangwa maswali juu ya uwepo wa uhusiano wake na Dax, lakini pia amemzungumzia Bob Jr...sikiliza hapo chini 
"Mara ya mwisho nimemuona Dax ilikuwa samaki samaki mwaka jana sijui ilikuwa lini, tena nilimsalimia mambo poa vipi fresh. amesema Wema....Hivi kati ya Diamond, Bob jr na Dax unampenda nani? "hahahahaaaaaaaa siwapendi wote"

0 comments:

Post a Comment